John 7:28-29

28 aNdipo Isa, akaendelea kufundisha Hekaluni, akisema, “Ninyi mnanifahamu na kujua nitokako. Mimi sikuja kwa ajili yangu mwenyewe, bali yeye aliyenituma ni wa kweli na ninyi hammjui. 29 bMimi namjua kwa kuwa nimetoka kwake, naye ndiye alinituma.”

Copyright information for SwhKC